Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2018

JINSI YA KUJUA KAMA SIMU/LINE YAKO INATUMIKA/INAONWA NA MTU MWINGINE

Picha
piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako.  Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama. Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa monitoring device kwenye namba yako. Watumie na wengine kuwajulisha matukio haya