STORY: TOTO TUNDU Episode : 01 Mwandishi : Elton Mackintosh Whatsapp Group UTANGULIZI:- Samaki mkunje angali mbichi. Naam! Nilikunjwa na ulimwengu wa mapenzi, mapema nikiwa hata sijui nini maana yake. Niliyacheza kama mchezo nikiwa nakua; na kuvunja mioyo ya wanawake wengi wakubwa na wadogo. Ni naitwa Jonathan Miyagi, na hivi ndivyo nilivyo tambulishwa kwenye ulimwengu wa mapenzi na jinsi tufani niyo inavyo sambaratisha maisha yangu kwa sasa. MUHIMU: Hadithi hii imebeba maudhui ya kiutu uzima. Hadithi hii si ya kweli, Visa, Mikasa na Wahusika ni vya kubuni. (Usisome kama huna mwenza ama hujafikisha umri wa miaka 18) . Asante! SURA YA KWANZA :- Ni ukweli usiopingika kwamba nina muonekano mzuri. Wasichana wengi walipenda kucheza na mimi kipindi cha utotoni. Hata waliokuwa wakubwa waliniangalia kwa jicho la matamanio, Japo sikuweza kutambua hilo kwa wakati huo. Mwanzo wa Yote ni Kipindi Nilipokuwa darasa la Tano. Nilipokuw...