KITANDA DARASA EP 4
KITANDA DARASA Episode:-04 KWANINI WANAUME WENGI WANASHINDWA KUWARIDHISHA WAPENZI WAO Mpaka sasa nadhani umeanza kupata mwanga wa nini nachojaribu kuzungumzia. Kama umesoma vizuri episode (sehemu) tatu (3) zilizopita sasa utakuwa umepata picha ya makosa gani ambayo unakuwa umekuwa ukiyafanya na pia ninatumaini nimekusaidia kwa namna moja au nyingine kukuongezea ujuzi uliokuwa umepungukiwa au kukosa kabisa. Kwa ambao bado hawajafaidika na wala kupata msaada wowote kutoka kwenye mjadala huu basi nawaomba radhi sana. Nawashauli waendelee kufuatilia kuna mambo mengi mazuri yanakuja. TUENDELEE…… Pia sababu nyingine inayopelekea tatizo hili ni dhana potofu. Kuna dhana mbalimbali ambazo watu wengi wamezijenga ambazo hazina msingi wowote. Moja ya dhana hizo ni kama:- · KUWA NA UUME MKUBWA UTAWEZA KUMRIDHISHA MPENZI WAKO. · KUPIGA NDIO KUWEZA AU KUJUA MAPENZI · ...