KITANDA DARASA EP.1
KITANDA DARASA
Episode ; 1
Imeandaliwa
na Mr Android Tz
KWANINI WANAUME WANASHINDWA KUWA RIDHISHA AU KUWAFIKISHA WAPENZI WAO KILELENI.
Swala la
Wanaume kufanikiwa kuwafikisha wake/wapenzi wao kileleni limekuwa ni swala gumu
kwa wanaume wengi,hali inayopelekea kutowaridhisha wapenzi au wake zao. Hilo
nadhani mnalifahamu.
Ambacho
wengi hawajui ni kwamba Swala la kuridhishana kimapenzi sio swala la kutegemea
mwanaume tu bali ni huhitaji ushirikiano wa karibu wa wapenzi wote wawili.
Nisikuchoshe
tuingie moja kwa moja kwenye mada yetu.
Kwa mujibu
wa utafiti wangu usio rasmi nilio ufanya juu ya jambo hili kupitia rafiki zangu
wa karibu na hata mimi mwenyewe (sometimes) niimegundua makosa kadhaa ambayo
wapenzi wengi wanayafanya kisha hupelekea kuharibu ladha ya tendo zima la ndoa
(sex)
Moja ya
sababu hizo ni :-
1.PAPARA
Papara ni
namna ya kufanya jambo kwa haraka bila maandalizi yoyote (maandalizi ya
kutosha). Swala ambalo lina tukumba wanaume wengi duniani inapokuja kwenye
swala la kufanya mapenzi. {jamani wanaume tunakimbilia wapi mbona haiyeyuki ipo
tu inakungoja}
Tendo
linahitaji utulivu wa mwili na akili ili liweze kukamilika kikamilifu. Ila
wanaume tumekuwa na papara hasa tunapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza.
{KUMBUKA;unapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza ndio wakati mzuri wa
kung'ara /kushaini hivyo unahitaji kuonesha ufundi.TULIA}
Licha ya
kukutana na mwanamke kwa mara ya kwanza Wanaume tuna tabia ya kuwa na papara
tunapojawa na mihemko (mzuka) ni kawaida kwani ndivyo tulivyo umbwa ,lakini
haimaanishi kuiruhusu mihemko kukuendesha unatakiwa kuiendesha wewe, au
itakupelekea kushindwa kumfurahisha mwenzio kisha uonekane huna maana.
ENDELEA KUFUATILIA SEHEMU YA PILI NIKUPE ELIMU YA
KUTOSHA.

Maoni
Chapisha Maoni