KITANDA DARASA EP 4
KITANDA DARASA
Episode:-04
KWANINI WANAUME WENGI
WANASHINDWA KUWARIDHISHA WAPENZI WAO
Mpaka sasa
nadhani umeanza kupata mwanga wa nini nachojaribu kuzungumzia. Kama umesoma
vizuri episode (sehemu) tatu (3) zilizopita sasa utakuwa umepata picha ya
makosa gani ambayo unakuwa umekuwa ukiyafanya na pia ninatumaini nimekusaidia
kwa namna moja au nyingine kukuongezea ujuzi uliokuwa umepungukiwa au kukosa
kabisa. Kwa ambao bado hawajafaidika na wala kupata msaada wowote kutoka kwenye
mjadala huu basi nawaomba radhi sana. Nawashauli waendelee kufuatilia kuna
mambo mengi mazuri yanakuja.
TUENDELEE……
Pia sababu
nyingine inayopelekea tatizo hili ni dhana potofu. Kuna dhana mbalimbali ambazo
watu wengi wamezijenga ambazo hazina msingi wowote. Moja ya dhana hizo ni kama:-
- ·
KUWA
NA UUME MKUBWA UTAWEZA KUMRIDHISHA MPENZI WAKO.
- ·
KUPIGA
NDIO KUWEZA AU KUJUA MAPENZI
- ·
MWANAUME
ANATAKIWA KUJUA CHA KUFANYA (Wanawake)
Kwa
uchunguzi wangu usiokuwa rasmi nimekutana na fikra za na mna hii kwa watu
mbalimbali jamaa na marafiki na ukweli ni kwamba hizo fikra ZINAWEZA kuwa
potofu kutokana na mazingira fulani.
- ·
KUWA
NA UUME MKUBWA UTAWEZA KUMRIDHISHA MPENZI WAKO
Hoja hii ni KWELI
pia SIKWELI. Nguvu/Msingi wa hoja hii unatokana na ukweli kwamba Uume mkubwa
unaweza kufika ndani zaidi na pia unaweza kugusa sehemu zote za ndani ya uke wa
mwanamke. Hivyo unaweza kumpa raha na hata kumfikisha kwa urahisi zaidi
ukiringanisha na mtu mwenye Uume wa
kati/mdogo. Pia Mwanaume mwenye Uume mkubwa anafaida ya kuweza kushiriki
mitindo (staili/styles) nyingi tofauti tofauti ukiringanisha na mwanaume mwenye
Uume mdogo hali yake inamzuia kushiriki baadhi ya mitindo.
Udhaifu wa
hoja hii ni kwamba, kumridhisha mwanamke sio kitendo cha kuchomeka na kuchomoa
ni jambo ambalo linahusisha mlolongo wa hatua mbalimbali kwa usahihi. Embu
fikiria kama unaweza kumridhisha bila hata kumuingilia je Uume wako utashindwa
kufanya kazi hiyo? Jiamini kuwa unaweza kufanikisha kazi hiyo kwa huohuo Uume
ulionao. Kuna michezo mbalimbali ambayo usipo ijua huwezi kunoga, hata kama una
Uume mrefu mpaka Morogoro. Utaishia kumuumiza tu mtoto wa mwanaume mwenzio tu.
UUME MKUBWA NI UPI?
Yawezekana
unasikia tu kuhusu Uume mkubwa (mashine) na Uume mdogo(kibamia). Je ulishawahi
kujiuliza mkubwa ni upi na mdogo ni upi? {SASA SIKILIZA NIKWAMBIE}
Kwa mujibu
wa sayansi (kutokana na majarida mbalimbali niliyo yasoma) Ukubwa wa Uume
umewekwa katika makundi manne
1.
UUME MDOGO.
Huu ni ule wa kuazia urefu wa inch
0-3. Mtu mwenye urefu huu wa uume wao ndio wamemweka kwenye kundi la Uume mdogo
(Kibamia wengine wanaita).
2.
UUME WA KATI.
Huu ni ule unaoanzia urefu wa inch
4-6. Nahuu unatosha sana kumridhisha mwanamke kimapenzi.{JAPO MADADA ZETU WA
SIKU HIZI WAMEANZA KUTUMIKA TANGU WADOGO ,HATA HUO KWAO NI KIBAMIA}
3.
UUME MKUBWA
Kwa mujibu wa majarida hayo ule unaoanzia
urefu wa inch 7-9 ndiyo uume mkubwa (Mashine) {HONGERA KWA WALIOFIKA HUKO KOTE}
4.
UUME MKUBWA ZAIDI (EXTRA LARGE/MONSTER COCK n.k)
Huu unaanzia inch 10+ (na kuendelea)
kama mmeshawahi kuangalia video nyingi za kuigiza za ngono utaziona.
Ukijua namna
sahihi ya kumwandaa mpenzi wako kabla ya tendo huna haja ya kufika mbali kote
huko. Kama maumbile yako ni makubwa basi usibweteke ongeza na maujanja mengine
ili uweze kunoga zaidi kwani ukubwa pekee hutoshi.
TUTAENDELEA……
Maoni
Chapisha Maoni