KITANDA DARASA EP.2


KITANDA DARASA

Episode:- 2

Imeandaliwa na Mr Android Tz

KWANINI WANAUME WANASHINDWA KUWA RIDHISHA AU KUWAFIKISHA WAPENZI WAO KILELENI.

Tuendelee tulipoishia mara ya mwisho. Tulijadili sababu kubwa inaypelekea wanaume kushindwa kuwaridhisha wapenzi wa ni papara.
Kwa upe wangu na uchunguzi wangu mdogo nilio fanya nimeona jambo hilo (papara) linasababishwa na mambo yafuatayo:
·        MAZINGIRA KUTOKUWA RAFIKI
Yawezekana mazingira unayoenda kufanyia tendo hilo sio rafiki hayakupi utulivu wa akili na nafsi, labda unaogopa mazingira hayo yanaweza kusababisha ukaonwa au ukakutwa na watu wengine ukitenda tendo hilo (kufumaniwa). Definitely hautokuwa amani bali utafanya mambo haraka haraka ili upate kumaliza na kuondoka {MAPENZI HAYANOGI HIVYO SISTA/BRO}
·        MUDA
Wapo wenye mapenzi ya kuiba iba, either anakaa na wazazi au anachepuka hivyo anatakiwa kucheza na muda ili asistukiwe,muda mdogo anaopata anafanya na kuondoka {BADO HAMNA MNACHOFAIDI}.
·        MIHEMKO
Sasa hapa ndio penyewe naomba unisome vizuri.
Hili suala linatufelisha wanaume wengi hata kama hakabiliwi na hizo changamoto nyingine hapo juu. Ni kweli mzuka unavopanda unaweza kujikuta umesha panda juu na kuanza kula tunda lakini ukiendekeza itakuwa ni tabia tenda tabia sugu. {HUJACHELEWA BADO LIPO SURUHISHO}

JINSI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO HIZI.
·        ANDAA MAZINGIRA RAFIKI
Mapenzi (sex) ni tendo la kuheshimiwa sana hivyo linapaswa kufanywa mahali pa tulivu. Sio lazima kitandani au chumbani {LAZIMA UWE MBUNIFU} ,bali mahali popote penye faragha (privacy) ambapo wote wawili mtakuwa na amani napo.
·        TENGENEZA/ANDAA MUDA
Jamani, tendo hili halihitaji haraka hata kama mazingira yanakubana tengeneza mpango (plani) mzuri  ambao utakupatia muda wa kutosha kulitenda. Bora ulifanye mara moja kwa muda mrefu ila ulifanye kikamilifu.
·        KABILIANA NA MIHEMKO YAKO
Hili ndio somo muhimu zaidi {TULIA}
Watu wanaopapalika kwa sababu ya mihemko ni watu wasio jiamini {UNAOGOPA ATAGHAILI? HAHAHHAHAHA}.  Kuna namna nyingi za kukabiliana na mihemko hiyo ila kwa sasa tutajadili namna mbili tu.
1)      JICHUE/PIGANYETO (MASTURBATION)
{UNASHANGA???} Sio kitu cha kuzoea ila mara mojamoja kinasaidia kwenye mchezo. Fanya hivyo nusu saa au saa moja kabla ya mchezo. Muda ambao mihemko/mzuka umepoa unaweza kuutumia sasa kumuandaa mpenzio bila kuwa na papara, pia itakusaidia kudumu muda mrefu pindi utakapo anza mchezo.
2)      USIVUE NGUO ZOTE
{NDIYO! USIVUE NGUO} Kwanini nasema hivi, unapovua nguo na kumvua nguo mpenzi wako ni ngumu kujizuia kumuingia  pasina kuwa hujamuandaa vya kutosha. Mwache angalau na chupi. Usifike tu na kumvua nguo , mvue ukiwa unaendelea kumuandaa. Mfano:- Unaweza kuanza kwa kumkiss kwanza mdomoni au shingoni kisha ukamtoa nguo ya juu. Usianze na kumvua ndio umuandae {ACHA KUWA RASMI HIVYO}.
Mnyanyue nyanyue kidogo angalau mbananishe ukutani mkiss mtupie kitandani mshike hapa na pale huku unamtoa nguo taratibu bro. mpaka unamaliza vurugu zote hizo motto kalainika vizuri tayari kwaajili ya kuliwa.

KWA LEO INATOSHA. ENDELEA KUNIFUATILIA


Facebook

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Madam Lilly Sehemu Ya Pili

Madam Lilly Sehemu Ya Tano

Madam Lilly Sehemu Ya Tatu