KITANDA DARASA EP 3


KITANDA DARASA
Episode: 03
Imeandaliwa na Mr Android Tz

KWANINI WANAUME WANASHINDWA KUWA RIDHISHA AU KUWAFIKISHA WAPENZI WAO KILELENI.

Kama tulivokuwa tumeishia kwenye mjadala wetu wa awali, tumeona namna mbalimbali ambazo mwanaume anaweza kutumia kujizuia kufanya papara wakati akiwa kwenye maandalizi ya tendo la ngono (sex)
Leo tutatazama sababu ya pili. Sababu ya kwanza tulisema ni papara. Nyingine ni:-
2. UVIVU
Hii inawahusu zaidi wanawake.{WAKINA DADA MPO????} wanawake (walio wengi sio wote)  wanadhani kuwa katika kufanya tendo shughuli nzima ni ya mwanaume {HAPANA} mapenzi yanahitaji ushirikiano kutoka pande zote mbili , ni kama kila mmoja kumsogelea mwenzie na kukutana njiani, ukisubiri kufuatwa ulipo utasubiri sana.
Wadada jueni hili hisia za wanaume ni kama sufuria, hupata moto haraka pia hupoa haraka pindi ukilitua kwenye moto. Na wakaka mjue hili , hisia za mwanamke ni kama chungu huchelewa kupata moto na pia huchelewa kupoa hata ukikitua kwenye moto {UMEPATA PICHA????}
Hivyo mwanaume unapaswa kumchemsha mwanamke wako hadi atokote. Hilo haliwezekani kama mwanamke ukienae hakupi ushirikiano. Unakuta mwanamke amelala tu kama mjusi  tu hafanyi chochote.
Hicho kitendo ndicho kinacho  haribu morali ya kuendelea na mchezo. Hivyo wanawake wamchango mkubwa sana katika kunogesha mchezo.
Jambo la msingi mwanamke unalotakiwa kulijua ni kwamba anatakiwa kufanya kila analoweza kuhakikisha kuwa yeye ndiye anayekuwa wakwanza kuridhika kabla ya mwanaume.
JINSI YA KUFANIKISHA HILI
·         UWAZI
Usione aibu mweleze mpenzi wako unatamani akufanyie nini sehemu gani ya mwili wako na kwa namna gani. Mwanamke unapaswa kuwa muwazi kwa mpenzi wako. Kutokana na ukweli kwamba sio wanaume wote wanajua michezo ya kimahaba (ROMANCE). Sio jambo la kutulaumu kwakuwa hakuna shule ya kufundisha mambo hayo, hivyo kuna uwezekano mkubwa mtu ulienae amepitwa na utaalamu huo.
Kama utaona aibu kusema basi unaweza kumuongoza kwa vitendo wewe mwenyewe. (mfano, unajisikia raha sana kupapaswa katika sehemu Fulani ya mwili wako , basi ichukue mikono yake kisha ipeleke sehemu hiyo {HAKUNA MWANAUME MJINGA WA KIUSHINDWA KUELEWA UNATAKA NINI})
Au unaweza kutumia kichwa cha uume wa mpenzi wako kujisugua kis+m+ hadi ukafika {NIMEONA WANAWAKE WENGI INAWASAIDIA}
Hivyo basi mdada kama ni mvivu acha kulalamikia mpenzi wako, jiulize wewe umefanya nini kuhakikisha zoezi linafanywa kikamilifu? {AU NDIO ULIKUWA UMETULIA KAMA MPENZI MTAZAMAJI}

TUONANE TENA EPISODE INAYOFUATA…..ASANTENI

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Madam Lilly Sehemu Ya Pili

Madam Lilly Sehemu Ya Tano

Madam Lilly Sehemu Ya Tatu